Posts

Mfahamu Kiundani IGP Mpya Camilius Wambura, Mrithi wa Simon Sirro

Wote tunafahamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi ambapo amempandisha cheo Kamishna wa Polisi Camillus Mongoso Wambura, aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP akichukua nafasi ya Simon Sirro. Nimejawa na furaha kuona mtu makini ndani ya Jeshi la Polisi mwenye uzoefu na weledi anakabidhiwa majukumu makubwa ya kuliongoza Jeshi letu la Polisi. Hakika CAMILIUS WAMBURA ni mtu sahihi mno. Wengi wetu tunaofuatilia utendaji wa Jeshi la Polisi nchini tulitegemea mabadiliko kufanywa hususani katika nafasi hii muhimu ili kupatikana mtu anayeendana na kasi na dira ya serikali ya awamu ya sita. Baadhi ya nyadhifa na majukumu ndani ya Jeshi la Polisi yaliyowahi kufanywa na IGP CAMILIUS WAMBURA ni pamoja na; 1. Kamanda wa Polisi Mkoa Maalum wa Kipolisi – KINONDONI 2. Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Polisi- Makao Makuu 3. Mkurugenzi wa Operesheni- ...

MANGE Kimambi Amlipua Salama SK Kisa P-Funk Majani, "Umefanya Nini Kwenye Muziki wa Bongo zaidi ya Majungu"?

Ameandika haya Mange Kimambi: Wasafi, Majani ana matatizo yake ila amewaambia ukweli. Na badala ya kumjibu kwa facts nyie mnaenda kwenye personal attacks zinazohusu Harmonize kumtomb** familia yake, ila kipindi kile Ommy Dimpoz alipoongelea kumtomb** Dai mamake mlikasirika sana kwasababu kaingiza mambo ya family. Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu…. Alichosema Majani ilibidi kijibiwe kwa facts, Dai mwenyewe alisema kwa mdomo wake kuwa alibeba wimbo wa Mbosso kwenye FOA, je alimpa rights zake juu ya ule wimbo? Naongea sababu kumbukeni Wasafi mliingia mjini kwa kumchafua Ruge Mutahaba kwa kukandamiza wasaniii, haya nyie leo mnafanya nini? Mlivyoingia mjini mlibeba wasaniii woooote wa zamani ambao walikuwa hawaelewani na Clouds,kina Dudubaya sijui nani mkadai hao wasanii walipotea sababu ya Ruge, haya mliishia wapi na wale wasanii? Mbona hamko nao tena? Mlidhani kazi ya kudili na wasanii ni rahisi? Kila msanii wa wasafi akipata jina tu anasepa zake hiyo yote ni sababu ya mkataba m...

Simon Msuva "Ninawashukuru Sana Watanzania Wenzangu Niko Tayari Kuanza Upya"

Kiungo Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva ametoa shukurani kwa wadau wa Soka La Bongo baada ya kukamilisha mpango wa kupata klabu mpya. Msuva amekamilisha usajili wa kujiunga na Al Qadsia ya Saudi Arabia, baada ya kumaliza kesi yake na Klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco, iliyoendeshwa na FIFA kwa zaidi ya miezi sita. Kuungo huyo ametumia muda wake kwa kutoa ujumbe mzito wa shukurani kwa Wadau wa Soka La Bongo, kufuatia kuonyesha kuwa naye katika kipindi chote alichokuwa na matatizo. “Naomba nichukue fursa hii kusema asante. Nilipata matatizo na klabu yangu ya hapo awali Wydad Athletic na nilirudi nyumbani kupumzika huku nikiwa nasubiri hatma yangu juu ya matatizo ambayo yaliweza kutokea baina yangu na uongozi wa timu” “Nawashukuru pia Watanzania wote ambao walikuwa pamoja na mimi kwenye kipindi chote kigumu ambacho nilikuwa napitia” “Namshukuru Mama yangu na Baba yangu kwa maneno mazuri yaliweza kunitia nguvu kila niamkapo, bila kusahau familia yangu yote kwa ujumla, mara...

Hatimaye Msuva Atimkia Saudi Arabia Kujiunga na Timu ya Daraja la Pili

Winga nyota wa Tanzania Simon Msuva amekamilisha mipango ya kujiunga na timu ya daraja la pili ya AL-QADSIAH. Tayari leo amefanyiwa vipimo vya Afya na vimekwenda vyema. Msuva ambaye alivunja mkataba na miamba ya soka ya Morocco Wydad Casablanca anaanza maisha mapya ya soka Saudi Arabia. nyandichethedreamtz

Diamond athibitisha kununua Ndege binafsi Private Jet

Staa wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB Diamond Platnumz ameweka wazi kuwa ameshanunua Ndege yake yaani Private Jet. Akiongea na DW akiwa nchini Ujerumani Diamond amesema kuwa tayari ameshanunu Ndege ambayo aliwahi kuizungumzia miaka kadhaa sasa na pia meneja wake Sallam Sk ameweka wazi kuwa licha ya Ndege hiyo kununuliwa na Diamond pia itakuwa inatumika kukodishwa. nyandichethedreamtz

Inachekesha..Wamarekani Hawamfahamu Diamond, Wazani ni Mchezaji Mpya wa Timu yao

Baada ya Timu ya @washingtonnfl kumzawadia Jezi na kumpost @diamondplatnumz kwenye page yao ya Instagram, mashabiki wa timu hiyo wameonekana kushangazwa na mtu huyu, huku wengi wakijua ni mchezaji mpya wa timu yao. Maswali mengi yameibuka kutoka kwa mashabiki hao mfano "Who?", "Who is that?" "Can he play" "Can he Help our Team", "Serious Question who is this" Baadhi ya wabongo na waafrika wameonekana kujibu baadhi ya comments za wamarekani kwa kusema kwamba huyu ni msanii kutoka Afrika, East Africa na Wengine wakaitaja Tanzania. Kumbe wasanii wetu Usikute Show zao za marekani huwa wanahudhuria wabongo tu labda na wakenya wa huko, maana hili jambo limeonesha wazi kuwa wasanii kutoka Tanzania hawafahamiki, yani wanajua mchezaji mpya kasajiliwa nyandichethedreamtz

Miquissone “Simba ilinipa jina kubwa katika soka Afrika"

“Simba ilinipa jina kubwa katika soka Afrika, hapo kabla sikucheza hatua ya robo fainali klabu bingwa Afrika nimefanya hivyo nikiwa na Simba, ni heshima kubwa kwa mchezaji yeyote mwenye kiu ya mafanikio” 🗣“Simba Sc ilinilea vyema na ninaamini ipo siku nitarejea kama itakuwa sehemu ya mipango ya Mungu” nyandichethedreamtz