Rais Magufuli Akutana na Maalim Seif Sharif Hamad

NancyTheDreamtz
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwanasiasa Mkongwe na Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, Ikulu Jijini Dar

Kabla ya kuanza kwa mazungumzo yao na baada ya kumaliza walisalimia kwa namna ambayo hawakugusana, awali walipungiana mikono kwa mbali na mwisho waligusanisha miguu

Salamu hizo ni kutekeleza ushauri ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wenye lengo kujihadhari dhidi ya Corona

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele