Koffi Olomide Amwagia Sifa Kibao Mwanamuziki Nandy

NancyTheDreamtz
Kupitia kwenye kipindi cha Jahazi kinachorushwa Radio Clouds FM nguli wa muziki wa dansi 💥Koffiolomide amefunguka na kusema anakubali uimbaji wa NANDY
KOFFI ALISIKIA NA KUSEMA

Kuna msanii wa kike huyo nani kaimba kivuruge, oooh nandy namkubali'- Koffi Olamide

Kabla sijarudi congo inshallah tutafanya jambo Tanzania ni nyumbani'- Koffiolomide

Comments

Popular posts from this blog

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Waziri Lugola Awaondoa Madarakani Maafisa Wa NIDA Mkoa Wa Ruvuma