Kardinali Pengo Ang’atuka Rasmi, Papa Francis Aridhia

NancyTheDreamtz
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp  Kardinali Pengo, ameng’atuka wadhifa huo na nafasi yake imechukuliwa na Askofu Mkuu Mwandamizi, Yuda Thaddeus Ruwa’ichi, wa Jimbo kuu la  Dar es Salaam.

Hivi karibuni, Askofu Pengo aliomba kupumzika nafasi hiyo ambapo Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis ameridhia ombi hilo na kumruhusu kupumzika.

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele