IKULU Yampongeza Msanii Diamond...Mwenyewe Afunguka Maneno Mazito

NancyTheDreamtz
Baada ya ukurasa wa kijamii wa instagram wa Ikulu kumpongeza msanii Diamond Platnumz kwa mchango wake wa maendeleo ya jamii ikiwemo kuchangia shule ya msingi ya Sumbawanga katika ujenzi wake hatimaye mwanamuziki huyo ameandika ujumbe wa shukrani kwa Serikali  kwa kutambua mchango wake na sanaa kwa ujumla.

Diamond ambaye kwa sasa yupo Sumbawanga kwaajili ya tamasha lake la Wasafi Festival, amekubali kubeba jukumu la kujitolea kuimalizia shule ya Msingi ya Sumbawanga ambayo ilihitaji milioni 68 ili kuhakikisha imemalizika na kuanza kupokea wanafunzi mwezi Januari ambapo aliridhia kubeba jukumu hilo huku akiongezea kuwa yupo tayari kujitolea na mabati 150.

Advertisement

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele