Posts

Fatma Karume Amlipua Msajili wa Vyama Vya Siasa

Image
Aliyekuwa Rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) Fatma Karume amemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi kutaja kifungu cha sheria kilichovunjwa na wanachama wa chama CHADEMA. Fatma amesema hayo kupitia ujumbe wake alituma kwenye ukurasa wake twitter na kutaka kutoa ufafanuzi ili wanachama wa chama hicho kujua kosa lao. “Francis ni mwanasheria angeanza kwa kutaja ibara ya Katiba iliyovunjwa na kipengele cha sheria kilichovunjwa ili wananchi waelewa” Ameandika Karume. Mapema leo Agosti 4, 2020 msajili huyo wa vyama vya siasa alituma onyo kwa chama cha CHADEMA juu ya kitendo chao cha kuongeza beti kwenye wimbo wa Taifa. Aliyekuwa Rais wa chama cha wanasheria wa Tanganyika (TLS) Fatma Karume amemtaka msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji mstaafu Francis Mutungi kutaja kifungu cha sheria kilichovunjwa na wanachama wa chama CHADEMA. Fatma amesema hayo kupitia ujumbe wake alituma kwenye ukurasa wake twitter na kutaka kutoa ufafanuzi ili wanachama wa ch...

Breaking News: Mlipuko Mkubwa Watokea Jijini Beirut..Watu Wapagawa Tazama Hapa Video ya Mlipuko

BEIRUT -- Massive explosions rocked downtown Beirut on Tuesday, flattening much of the port, damaging buildings and blowing out windows and doors as a giant mushroom cloud rose above the capital. Lebanese Red Cross official Georges Kettaneh reported hundreds of casualties, people wounded or killed. Beirut's governor Marwan Abboud called it a "national catastrophe" and the prime minister declared a day of mourning, according to CNN. “It resembles to what happened in Japan, in Hiroshima and Nagasaki. That’s what [it] reminds me of. In my life, I haven’t seen destruction on this scale," Abboud said. Tazama Hapa Mlipuko; NancyTheDreamtz

Mpenzi wa Rapper Snitch Ajulikanaye Kama Tekashi 69 Ametangaza Kuwa na Ujauzito Baada ya Tekashi Kuachiwa Huru

Image
Siku 4 baada ya Tekashi 69 kumaliza kifungo chake, sasa yupo tayari kulea familia yake na mtoto mwingine. Mpenzi wake, Jade ametangaza kuwa na ujauzito. Kupitia instagram yake juzi (@__ohsoyoujade) aliweka wazi hilo. Bado Tekashi hajathibitisha taarifa hizo kwa upande wake, lakini huyu atakuwa mtoto wa pili kwa wawili hao NancyTheDreamtz

Faida za Kuishi Bila Michepuko Katika Maisha

Image
Kama wewe ni mtu ambaye huchepui, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mweza wako. Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata. Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa. Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.  Utapata ammani moyoni ·Utaepukana na magonjwa · Utakuwa na Furaha isiyo elezeka ·Utajimini zaidi  Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia) · Utafurahia tendo la ndoa zaidi (Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho ·mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo ·Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako NancyTheDreamtz

Mambo Yanayosababisha Baadhi ya Watoto Wasifanye Vizuri Kwenye Masomo

Image
Mara kadhaa imeshuhudiwa baadhi ya watoto wakishindwa kufanya vizuri kwenye masomo. Jambo hili siyo zuri kwani linaathiri maisha ya watoto wenyewe pamoja na wazazi au walezi. Wakati mwingine swala hili limekuwa kubwa kiasi cha kuwafanya baadhi ya watoto kupata shida hata kufanya mambo madogo kama vile kusoma na kuandika. Hata hivyo kila jambo linalotokea duniani hutokea kwa sababu. Hivyo ukiwa wewe umeguswa na swala la baadhi ya watoto kutokufanya vizuri shuleni, basi karibu nikushirikishe mambo yanayosababisha baadhi ya watoto wasifanye vizuri kwenye masomo. 1. Matatizo ya kisaikolojia Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni. Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku mengine hutokana na matendo kama vile ukatili wa kijinsia au unyanyasaji mwingine wanaofanyiwa baadhi ya watoto ambayo hupelekea kuathirika kisaikolojia. Baadhi ya watoto hubakwa, hulawitiwa, hupigwa, hunyimwa chakula au hata mahitaji muhimu. H...

Mambo 8 Yanayosababisha Gari Kuwaka Moto na Jinsi ya Kuyaepuka

Image
Gari ni kifaa au chombo kinachorahisisha usafiri, lakini kinapaswa kutumiwa kwa tahadhari kubwa. Ajali zinazotokana na magari kuwaka moto, mara kadhaa zimekuwa zikisababisha hasara kubwa au hata kugharimu maisha ya watu. Kwa hakika jambo hili si zuri, hivyo kila dereva au mtumiaji wa gari ni muhimu akachukua hatua za tahadhari mapema ili kukabili tatizo hili. Gari kuwaka moto kunaweza kusababishwa na mambo mbalimbali, fuatilia makala hii kwa karibu ili ufahamu mambo 9 yanayosababisha gari kuwaka moto na jinsi ya kuyaepuka. 1. Kuvuja kwa mafuta Ikiwa gari litavuja mafuta  ni rahisi sana kuwaka moto. Kumbuka mafuta ya gari pamoja na mafuta lainishi (oil) ni rahisi sana kushika moto. Tafiti mbalimbali za ajali zimebaini kuwa kuvuja kwa mafuta ni chanzo kikubwa cha magari kuwaka moto. Ni muhimu kuhakikisha unazingatia matengenezo na ukaguzi wa mara kwa mara wa gari lako ili kubaini kama kuna mahali panapovuja mafuta parekebishwe. 2. Hitilafu ya umeme Gari lina mfumo wake wa umeme ambao...

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU CHADEMA TAIFA.

Image
NancyTheDreamtz