Posts

when he found his wife sleeping with another one

Image
NancyTheDreamtz

Video Mpya: Shetta ft. Jux & Mr. Blue - Hatufanani

Image
NancyTheDreamtz The musician Bongo, Shetta invites you to watch the video of her new song called Unfair who has joined Jux and Mr. Blue. Look here.

RIHANNA XXX VIDEO PORNO MUSICAL

RIHANNA XXX VIDEO PORNO MUSICAL NancyTheDreamtz

Tattoo Mpya Ya Irene Uwoya Yazua Gumzo

Image
NancyTheDreamtz Muigizaji wa Bongo movie Irene Uwoya amezaa gumzo kwenye mitandao ya kijamii Baada ya kuanika tattoo yake mpya aliyochora katika siku za hivi karibuni. Siku ya jana Kupitia ukurasa wake wa Instagram Irene alianika tattoo yake mpya aliyochora kwenye maeneo ya pans kwa nyuma kutokana giographia ya sehemu tattoo ilipo mara moja ilisababisha gumzo. Kuna baadhi ya mashabiki walimjia juu Uwoya kwa kuacha sehemu kubwa ya maungo yake wazi hasa kwa sababu tattoo hiyo ameichora maeneo ya mapaja karibia ya makalio huku wengine hata wakihoji ni nani aliyepata bahati ya kumchora tattoo. Mpaka sasa Uwoya hajaweka wazi maana ya tattoo hiyo ambayo amechora bastola.

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Mapingamizi Ya Serikali

Image
NancyTheDreamtz Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi za serikali za kuzuia rufaa ya dhamana iliyokatwa na Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe na Esther Matiko isisikilizwe na hivyo imeamua kusikiliza rufaa hiyo leo saa nane mchana. Mbowe, ambaye pia ni Mbunge wa Hai, sawa na Matiko wa Tarime Mjini, wamekata rufaa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya hati ya dharura wakipinga uamuzi wa Mahakama ya Kisutu kuwafutia dhamana katika kesi ya jinai inayowakabili mahakamani hapo. Walifutiwa dhamana na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri, anayesikiliza kesi hiyo Novemba 23 kutokana na maombi ya upande wa mashtaka yaliyodai wameshindwa kuhudhuria mahakamani wakati kesi yao ilipopangwa kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali bila sababu za msingi.

CAF Wametangaza Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Afrika 2018, Mbwana Samatta Je?

Image
NancyTheDreamtz Shirikisho la soka Afrika CAF leo limetangaza majina 34 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2018, majina hayo yametajwa lakini kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili mfululizo mtanzania Mbwana Samatta anayecheza club ya KRC Genk ya Ubelgiji, jina lake halipo. Samatta ambaye ni mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa mwaka 2015 kwa wachezaji wanaocheza Ligi za ndani ya Afrika, kwa miaka miwili iliyopita jina lake lilibahatika kuingia katika 30 bora ya wachezaji wanaowania tuzo hiyo, licha ya jina lake kuenguliwa katika hatua za awali. FULL LIST YA WANAOWANIA TUZO ZA CAF 2018

Breaking News: Rais Georg Bush Afariki Dunia

Image
NancyTheDreamtz Rais wa zamani wa Marekani George H.W. Bush (Baba yake na Rais Bush aliyemuachia Obama madaraka) amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94 huko mjini Houston, msemaji wake Jim McGrath amethibitisha kifo chake. Rais huyo wa zamani wa Marekani aliongoza kwa awamu moja tu akiingia madarakani mwaka 1989 na kuondoka 1993 hivyo kubaki kama Rais pekee aliyeiongoza Marekani kwa awamu moja