Posts

Mambo sita usiyoyafahamu kuhusu Alikiba na Coastal: Mkataba, namba ya jezi, mchezo wake wakwanza na muziki (Video)

Nancy The Dream Tz iliandika habari juu ya uongozi wa Coastal Union ulitangaza dhamira yake ya kumsajili Alikiba na kumtumia kwenye msimu huu wa mwaka 2018/19 ligi kuu habari ambayo ilizua gumzo ndani na nje ya nchi kwa msanii huyo maarufu Barani Afrika kuamia upande wapili wa shilingi huku wengine wakiamini haiwezekani. Siku nne baadaye Julai 27 klabu ya Coastal Union ikaidhihirishia umma kuwa kila kitu kinawezekana baada ya kutangaza rasmi kumsajili Alikiba ambaye hucheza nafasi ya ushambuliaji ndani ya uwanja,  Bongo5  ilipotoa ripoti hiyo kupitia tovuti na mitandao ya kijamii ikazua gumzo huku mashabiki wa mziki kila mmoja akiandika mtazamo wake. Wakati kwa sasa msanii na mcheza soka nchini, Alikiba akifanya mazoezi ya kujiandaa na kazi yake mpya ambayo ameamua kuitumikia kwa sasa tulipata nafasi ya kumtembelea uwanjani na kujionea ni kwakiasi gani anavyojifua huku tukizungumza na uongozi wa klabu yake ya Coastal Union kujua utaratibu waliyompangia na haya ndiyo mambo...

Daimond Amuandikia Ujumbe Huu Mwanaye Tiffah katika Birthday

Image
Leo August 06, 2018 mtoto wa Diamond Platnumz, Tiffah anasherekea siku yake ya kuzaliwa. Mtoto huyu maarufu kama ilivyo kwa wazazi wake anatimiza umri wa miaka mitatu. Huu ni jumbe wa Diamond kwenda kwa Tiffah katika siku hiyo muhimu kwake; "I do love you, not because you are my Daughter...Nah! I love you because you love me more than aything in the World.... sometimes i even wonder why you Love me so....and that is the reason why i can't sleep without praying for you.. "I can't sleep without thinking about you... and most of the time when you come to my mind i feel like i owe you more than a life...Inshaallah, Mwenyez Mungu akukuze vyema, Akupe akili, Afya, Adabu, Umri mrefu wenye Furaha na Future nzuri baadae..... "Nakupenda sana Mwanangu, Nakupenda sana Tiffah angu.... Happy 3 Birthday mama🙏🏻 @princess_tiffah 💖💖💖💞💝💞." facebook