Video: Meja Kunta Afanya Balaa Nandy Festival Mwanza

MWANAMUZIKI anayefanya poa kwenye muziki wa Singeli Bongo, Khalid Sadick ‘Meja Kunta’ amefanya balaa usiku wa kuamkia leo Juni 18, 2021 jijini Mwanza kwa kupiga shoo ya nguvu kwenye Tamasha la Nandy Festival.

NancyTheDreamtz

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele