Kayumba Amfungukia Irene Uwoya

NancyTheDreamtz
Kayumba Amfungukia Irene Uwoya
BAADA ya kutamba na Ngoma ya Wasiwasi, msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mshindi wa Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma ‘Kayumba’ amekuja na ngoma mpya ambayo ndani yake amemuimba staa wa Filamu Bongo, Irene Uwoya.

Akichonga na Risasi Vibes, Kayumba ambaye pia ni zao kutoka Mkubwana Wanawe alifunguka kuwa, sanaa ni  ubunifu hivyo kutokana na kumkubali Uwoya ameamua kumuimbia wimbo unaoenda kwa jinala Uwoya.

“Ujue katika muziki unaweza kumuimbia mtu yeyote na nimemuimbia Uwoya kwa sababu amekuwa akisapoti kazi zangu mara kwa mara ninapotoa,” alisema Kayumba. 

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele