Skip to main content

Mfahamu mtoto wa kwanza wa Mr Nice, ni mrembo kweli (Picha)

NancyTheDreamtz
Mkali wa Takeu Style, Mr Nice Jumatatu hii ameamua kushare kwa mashabiki wake picha ya mtoto wake wa kwanza.
Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya shughuli za muziki wake nchini Kenya na Uganda, alipost mtandaoni picha za binti hiyo na baabaye mashabiki wakaanza kumtwanga maswali.
“My first lovely queen,” aliandika Mr Nice baada ya kupost picha ya binti huyo.
Akijibu maswali ya mashabiki wake, muimbaji huyo alimjibu mmoja kati ya mashabiki wake ambao walitaka kujua kuhusu binti huyo mrembo.
Hata hivyo mrembo huyo ambaye anatumia jana la Leylah Mohamed kupitia mtandao wa Facebook, wamewahi kupost picha mbili za baba yake huyo.


Related Articles

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele