Breaking News: Magufuli Amuwashia Moto Makonda Sakata la Makondena Amtaka Alipe Kodi

NancyTheDreamtz
Breaking News: Magufuli Amkalia Kooni Makonda Sakata la Makondena Amtaka Alipe Kodi
Rais John Magufuli ashangazwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingiza makontena 20 nchini yenye samani mbalimbali na kukataa kutalipia kodi akidai kwamba ni msaada kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya elimu kwa mkoa huo.



Magufuliamesema hayo leo wakati akizungumza na watumishi wa serikali wilayani chato mkoani Geita ambako yuko mapumzikoni.



“Umezungumza na wafanyabiashara huko, umeingiza makontena yako eti yana fenicha za walimu hata shule zenyewe hazitajwi, nani amekwambia walimu wanahitaji masofa?” amesema Rais Magufuli. 

Comments

Popular posts from this blog

Top Ten ya Makabila Yaliyotoa Wasomi Wengi Nchini Tanzania

Hii Hapa Orodha ya Uteuzi Alioufanya Rais Magufuli leo

Jeshi la Uganda lazindua kondomu zenye kibwagizo ‘Usiende nyama kwa nyama’ kuwalinda wanajeshi wake