Posts

Showing posts from 2024

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele YANGA wanahitaji sana duma ya mshambuliaji wa Azam FC, Prince Dube. Wanaamini Dube anaweza kuwa mtu sahihi wa kuziba nafasi ya Fiston Mayele. Inaaminika kwamba Yanga wamekuwa wakihangaika kumshawishi mchezaji huyo kwa muda mrefu kutua katika kikosi hicho kutokana na uwezo wake. . Hivi karibuni wakati Azam FC ikiwa mikoani kwa mechi za Ligi Kuu, Dube alionekana kwenye Uwanja wa Mkapa akishuhudia mechi ya Yanga ambapo ilishinda mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad. Dube hakusafiri na Azam kwa sababu ni majeruhi ambapo amekosa michezo kadhaa hadi sasa. . Nyota huyo hajacheza mechi ya Azam FC tangu Februari 19 alipoingia kipindi cha pili dhidi ya Tabora United. Hakusafiri na timu katika mechi mbili za mikoani Mbeya dhidi ya Prisons na Mwanza dhidi ya Singida. Lakini ARENA ltuajua kwa kawaida Azam FC husafiri na wachezaji wake hata kama ni majeruhi kama sehemu ya kujenga umoja. Hata hivyo Dube hakusafiri ikisemekana ali

PAUL Makonda "Dhuluma Ikimekidhiri Kwenye Ardhi, Tunafurahishwa na Ajicho Kifanya Jerry Slaa"

PAUL Makonda "Dhuluma Ikimekidhiri Kwenye Ardhi, Tunafurahishwa na Ajicho Kifanya Jerry Slaa" Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amesema kwa kiwango kikubwa dhuluma imekithiri Nchini na Watanzania wengi wameumizwa na dhuluma hususani katika sekta ya ardhi ambako imekithiri zaidi. Akiongea na Waandishi wa Habari leo Dar es salaam, Makonda amesema ———> “Dhuluma hii imegawanyika katika maeneo mengi au imegawanyika kwenye sekta nyingi na kama Chama tunao wajibu wa kuweka mkazo kwa kuisimamia na kuielekeza Serikali ili ipambane na dhuluma zinazowatesa na kuwaumiza Wananchi hasa walio wanyonge” “Ipo dhuluma kubwa sana kwenye sekta ya ardhi, huko kumekithiri, kilio cha Watu kunyang’anywa maeneo yao na wenye nguvu ya fedha imetawala, kilio cha Watu kupewa nyaraka au hati feki kimetawala na katika eneo hili tulitoa maelekezo mahususi tarehe 19 February 2024, kama Idara ya Itikadi na Mafunzo tunatiwa moyo na jitihada zinazochukuliwa na Waziri