Posts

Showing posts from January, 2019

RC Makonda aandika barua ya wazi ‘Acha niseme nawe kidogo kaka yangu Tundu Lissu’

Image
NancyTheDreamtz Ikiwa ni siku chache toka Mbunge wa jimbo la Singida , Tundu Lissu ahojiwe na kituo cha runinga cha BBC cha Uingereza na kuzungumza mambo mengi kuhusu afya yake pamoja na serikali ya Rais John Pombe Magufuli na kumtuhumu mambo mazito, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda ameibuka na kuandika barua ya wazi kwa mwanasiasa huyo wa Chadema. Barua yenyewe hii hapa chini.. ACHA NISEME NAWE KIDOGO KAKA YANGU TUNDU LISSU HASA NIKIANZA NA Shukran kwake muumba wa mbingu na ardhi kwa kumpa kaka yetu Tundu Lissu afya na siha njema. WENGI WALIOKO JIMBONI SINGIDA NA WA TANZANIA WOTE WALIHANGAIKA KWA SALA NA MAOMBI, USIKU NA MCHANA, WENGINE WAKICHANGA PESA ZAO NA HATIMAYE MOLA AKAJIBU MAOMBI YAO. KWA HESHIMA NA KUONYESHA UZALENDO, NAKUSHAURI KAKA YANGU TUNDU LISSU RUDI NYUMBANI UTOE SHUKRANI ZAKO KWAO. WATU WAKO WAMEKUMISS ZAIDI YA HAO UNAOWAKIMBILIA HIVI SASA. ZIARA YAKO HUKO HAINA TIJA KWA YOYOTE, NA KUICHAFUA SERIKALI SI KUMCHAFUA MH. RAIS NI KUICHAFUA TANZAN

Do You Care: 20 Facts About Rihanna : 1 of 3

Image
NancyTheDreamtz Whether she’s singing about diamonds in the sky or her umbrella, ella, ella, eh, eh, eh, eh, eh, eh, Rihanna has certainly made a name of herself. She is one of the most successful R&B/Pop singers on the planet today – having topped the Billboard charts 30 times – second only to Madonna, and has a networth of around $250 million. But in spite of her fame, there is plenty about Rihanna that you might not know about. With that in mind, here are 20 facts about your favorite singer that will make you slightly more knowledgeable. Rihanna holds the Guinness World Record for most digital singles sold at 58 million and counting. She was the first female artist to have a single top the UK charts for five consecutive years (2007 – 2011). Believe it or not, she has never worn makeup a day in her everyday life. Her rider contains a few quirky requirements. For instance, the air conditioning in her room must be s

Muungano wa Afrika AU umeiomba Congo iahirishe kutangaza matokeo ya uchaguzi

NancyTheDreamtz Muungano wa Afrika (AU) umeitaka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo iahirishe kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu. Muungano huo unaonuia kuhimiza umoja na demokrasia, unasema una "shaka kubwa" na matokeo ya awali yaliotangazwa wiki iliyopita, Matokeo hayo yalimpa ushindi mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi lakini mpinzani wa utawala uliopo, Martin Fayulu, anasisitiza kuwa yeye ndiye aliyeshinda. Kumezushwa maswali mengi kuhusu uhakika wa matokeo hayo huku kukiwepo shutuma kwamba Tshisekedi anapanga mpango wa kugawana madaraka na rais anayeondoka Joseph Kabila. Baadhi ya viongozi katika Muungano wa Afrika na Serikali walikutana katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa jana Alhamisi na kutoa tamko kuhusu Uchaguzi huo wa Desemba 30 unaopingwa pakubwa. "Kumekuwa na shaka kubwa kuhusu namna matokeo ya awali yalivyokusanywa, kama ilivyotangazwa na tume huru ya kitaifa ya uchaguzi kwa kura zilizopigwa," taarifa ya muungano huo imesema. H

CHADEMA watuma mawakili kufuatilia afya ya Freeman Mbowe Gerezani

NancyTheDreamtz Chadema imetuma mawakili wake katika Gereza la Segerea kufuatilia afya ya mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe ambaye jana alishindwa kufika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi inayomkabili, ikielezwa kuwa ni mgonjwa. Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu jana alisema taarifa za kuumwa kwa Mbowe ambaye pia ni mbunge wa Hai zimewashtua kwa sababu walikuwa hawajui. Alisema kutokana na taarifa hiyo wamelazimika kuwatuma mawakili kwenda gerezani ili kujua ni kitu gani kinachomsumbua na kujua kama amepatiwa huduma zinazostahili na kama kuna kitu kinachohitajika.   Taarifa za ugonjwa wa Mbowe zilitolewa mahakamani hapo na wakili wa Serikali mwandamizi, Patrick Mwita, wakati kesi ya ya jinai inayomkabili yeye na viongozi wengine wanane wa chama hicho mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ilipotajwa.

Live: Rais Magufuli Katika Makabidhiano Ya Mtambo Wa Kusimamia Mawasiliano Ya Simu (TTMS)

Image
NancyTheDreamtz Live: Rais Magufuli Katika Makabidhiano Ya Mtambo Wa Kusimamia Mawasiliano Ya Simu (TTMS)

SIMBA CHUNGA HAWA JUMAMOSI TAIFA

Image
NancyTheDreamtz Kikosi cha JS Saoura. KATIKA kitu ambacho Simba watafurahia wikiendi hii kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi dhidi ya JS Saoura ni shangwe nzito za mashabiki wao ambao watakuwa wakiongozwa na msemaji wao Haji Manara ambaye atapiga kambi kuzunguka majukwaa ya kawaida. Lakini tathmini ya kiufundi inaonyesha kwamba wapinzani wao kwenye mechi hiyo ya Ligi ya Mabingwa Afrika, watacheza soka la pasi lakini la kujilinda sana huku wakiwategemea watu watano. Video mbalimbali za timu hiyo zinaonyesha kwamba ikiwa ugenini kwenye mechi za ligi inaweka ukuta mzito na kuacha watu wachache mbele lengo likiwa ni kulazimisha sare au suluhu. Hivyo Simba inapaswa kuwabana kwelikweli. Staili hiyo huenda ikawapa nafasi kubwa Simba ambao wamepania kushambulia kwa nguvu kupitia katikati na pembeni jambo ambalo huenda likaibua shangwe kubwa haswa kutokana na staili mpya ya kushangilia iliyopewa jina la ‘Yes We Can’ chini ya Manara. Waalgeria hao ambao tayari wametanguliza wa

Tajiri Namba Moja Duniani, Jeff Bezos Wamwagana na Mkewe wa ndoa, Skendo za Usaliti Zahusishwa

Image
NancyTheDreamtz Jeff Bezos na mkewe Tajiri namba moja duniani, Jeff Bezos wamwagana na mkewe wa ndoa, skendo za usaliti zahusishwa Godfrey Mgallah  19 hours ago 1,062 FacebookTwitterShare via Email Afisa Mtendaji Mkuu na mwanzilishi wa mtandao wa Amazon, Jeff Bezos na mkewe MacKenzie wamepeana talaka baada ya kuishi miaka 25 kwenye ndoa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wawili hao kwenye mtandao wa Twitter, wameeleza kuwa watabaki kuwa marafiki biashara na kulea watoto pamoja. View image on Twitter Jeff Bezos ✔ @JeffBezos 31.3K 6:17 AM - Jan 9, 2019 11.4K people are talking about this Twitter Ads info and privacy “Baada ya kuishi kipindi kirefu cha misukosuko na kujaribu kutengana, hatimaye tumeamua kuachana na kuendelea na maisha yetu kama marafiki,“imeeleza taarifa hiyo. Ni miaka miwili sasa imepita tangu wawili hao waingie kwenye mifarakano, baada ya skendo ya Jeff kumsaliti mkewe kwa mwanamke wa rafiki