KUMBUKIZI ZA MWALIMU NYERERE WALIVYO ZIAZIMISHA WILAYA YA NANYUMBU LEO MANGAKA 14/10/2018

NancyTheDreamtz







Viongozi wa Wilaya ya Nanyumbu Leo  Wilayani Nanyumbu Mkoa wa Mtwara hawakuwa nyuma kuhakikisha kwamba wanamuenzi BABA WA TAIFA kwa Heshima na Taadhima kwa Weledi mkubwa
aliowahi kufanya MWALIMU  Nyerere Viongozi wa Vyama vya Kisiasa bilakujali utofauti wa Vyama
walihudhuria na kushiri Mdahalo kwa kuelezea mambo mbalimbali ambayo Kiongozi wetu Mwalimu ameweza kuyafanya katika harakati za kutafuta ukombozi kwa nguvu kubwa pamoja na kuimarisha Umoja
na mshikamo katika kulifanikisha hilo Baba wa Taifa letu aliweza kushirikiana na akina Mzee Kingunge,Bibi Titi Mohamed na wengine wengi sana ambao kwaujumla wao waliweza kuimarisha Taifa la Tanzania kupiga
hatua za Kisiasa,Kiuchumi na Kijamii katika Taifa la Tanzania hadi kuwa Tanganyika.

 Akiongea katika Mdahalo huo Katibu wa CCM Wilaya ya Nanyumbu Ndugu Paul Mwita aliweza kumuelezea Mwalimu kwa Mapana zaidi .
       

Comments

Popular posts from this blog

UCHAGUZI KENYA: Mchezaji wa zamani wa Inter Milan, McDonald Mariga kutoana jasho na Prezzo

Siri Yafichuka, Prince Dube Anakwenda Yanga Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele